Niaje mama,nimekuja mbio bila hata salaam.Hawayuuuni wakuu woote..Haya sawa hahahah
Mweh, nimecheka hadi machoziNiaje mama,nimekuja mbio bila hata salaam.Hawayuuuni wakuu woote..
Hahahaha kaugali gani hako. Hata mtoto hashibiKabisa yani... wazee wa mkoani hawatakuelewa. Ugali tonge 3 nyama nusu kilo.
hhahahahahahaahha,Numbisa!! Hivi huyu jamaa hua ni mboga ya watu... niliwahi kumuona pale China Bar anajichekesha chekesha na kunyonya lips bila mpangilio.
Weeeee,dakika mbili nyingi sana kwako[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mwambie kichwa kichafu wa sasa si yule wa zamani
HahhaahahahaChonde kichwa,tunaheshimiana sana mkuu[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] nakuomba niachie nsamaka wangu,usimgiribu kama ulivyo fanya mara ya kwanza na pete zako za visoda.Sawa mkuu!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Numbisa!! Hivi huyu jamaa hua ni mboga ya watu... niliwahi kumuona pale China Bar anajichekesha chekesha na kunyonya lips bila mpangilio.
mmmmmmmmmhNatamani siku mwanaume wa mkoani aje anitembelee. Wallah ntakua namkomoa daily, hadi ajue kua kula vzr si kula sana. Mtu unakula km kiwavi jeshi bana.