Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ha ha haTofali mi ntalipeleka wapi?
Nataka bonge la dhahabu lenye uzito kadhaa [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji16][emoji16][emoji16]
AiseeeKibibi hichi bado mabaharia wanakiburuza tu. Tako hakana yaani kapo kapo tu. Sijui sababu ya uselebriti lakini kama huyo dogo saizi yake awaburuze akina Rihanna na akina Ariana Grande. Yeye anakwenda kuburuza kajimama ambako kanaweza hata kumzaa.
Niaje bro? Kwema pande hizo?Aisee
[emoji120][emoji120][emoji120]Hongera wakulima
AminJioni yetu iwe njema
Maendeleo hayana chama.Karibu Dar.
MakumbushoView attachment 1508669
Na hii ndiyo akiba unayoweza kujiwekea.Ha ha ha
Yale mawe yakishafanyiwa process, yanawekwa mfano wa tofali bro, ila linakuwa tofali dogo tu mfano hapo chini..
View attachment 1508646
Na ukifanikiwa unakula vizazi na vizazi broNa hii ndiyo akiba unayoweza kujiwekea.
Unapata vitofali vyako 10 unavifukia mahali,
Kabisa bro.Na ukifanikiwa unakula vizazi na vizazi bro
Sasa nimekuelewa. Yaani nikiondoka na matatu hivi hata bilionea Laiza akasome.Ha ha ha
Yale mawe yakishafanyiwa process, yanawekwa mfano wa tofali bro, ila linakuwa tofali dogo tu mfano hapo chini..
View attachment 1508646
Fresh bro... pande hizi ni winter ya hatarNiaje bro? Kwema pande hizo?
Tunaambiwa jiji la Dar limegawanyika maeno makuu matatu.Maendeleo hayana chama.
Makumbusho imependeza