Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Upo sahihi, hata walio ficha mihela yao Uswisi hawana mamlaka ya kuzitumia watakavyo, mmiliki akifa na hela hupotea automatikale
Nigeria bado wanahangaika kurudishiwa mamilioni ya Sani Abacha. Hata DRC walikuwa wanahangaika kuzipata za Seseseko. Hivi karibuni Uswizi nadhani wamesema kuwa wataanza kurudisha 100% kama wakijiridhisha. Shida hawa jamaa wanaokwenda kuficha huko wanatumia majina ya family members na hata marafiki hivyo kuzipata pesa hizo kunakuwa na mlolongo mrefu sana kisheria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…