andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Hapana ni ya marehemu mzee Mwakitwange, huyo mwingine nadhani ni jina tu hana asili ya kule.Hahaaa, Baba Rose! [emoji28]... Mimi Nikadhani ni huyo Mzee Rungwe.
Hivi Rungwe haikuwa ya yule (marehemu)mnyakyusa muda mwingi alikuwa anavaa kofia pana utadhani ungo?
Na wewe unatumia kitunguu swaumu?!! Kwenye utafiti wa Ester upande wenu haujatajwa kabisa kuwa wanufaika. Tumia kitunguu maji kwa kukichemshia kwenye supu, sawa mama?Changanya na tangawizi kidogo. Ukiona vipi unaweka na ka limao kwa mbali.
Mm huwa na blend tangawizi na kutunguu swaum kisha nakamulia limao kidogo ndio naweza tumia bila shida.
Ila kitunguu swaumu pekee siwezi kbs.
Na wewe unatumia kitunguu swaumu?!! Kwenye utafiti wa Ester upande wenu haujatajwa kabisa kuwa wanufaika. Tumia kitunguu maji kwa kukichemshia kwenye supu, sawa mama?
#Mrejeshoubakinao
Vile ulikuwa unakuja Tukuyu [emoji1][emoji1][emoji1]Mi ninekumbuka rungwe express tu kwa vile nilishawahi panda[emoji12]
Na wewe unatumia kitunguu swaumu?!! Kwenye utafiti wa Ester upande wenu haujatajwa kabisa kuwa wanufaika. Tumia kitunguu maji kwa kukichemshia kwenye supu, sawa mama?
#Mrejeshoubakinao
Mbali na yale mengine huwa kinatibu ugonjwa gani?Achana na utafiti bhana, mi huwa natumia km dawa tu kwsbb niko muoga sana na dawa za hosp [emoji28][emoji28][emoji28].
Basi unakosa mengi, rejea utafiti wa Ester, kina faida sana kwa afya yakoHlf nilivyo sipendi kitunguu maji sasa, ht nikiwa napika nakata nimeangalia pembeni.
Harufu yake inanikera sana.
Vile ulikuwa unakuja Tukuyu [emoji1][emoji1][emoji1]
Kwenye harakati za huyu mzee ulikuwa hauja zaliwa. Alikuwa mbunge pamoja na marehemu Chogo wa Iringa walimsubua sana Nyerere.
Alikuwa mwalimu kabla ya uhuru then akaja kusomea Ushirika baada ya uhuru huko Israel.
Mbali na yale mengine huwa kinatibu ugonjwa gani?
Hayo mabasi ni ya kijana mmoja kamanda wa vijana wa Ccm mkoa wa Mbeya[emoji1][emoji1][emoji1] kumbe, hlf mm kila nikiyaona hayo magari basi nilikuwa najua ni ya Hashim rungwe[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Hapo nimekuelewa.Mm natumia ninapohisi kifua,kikohozi ama uchovu duzaini km homa ambayo siielewi elewi.
Lkn pia mchanganyiko huo una ladha nzuri, kuna muda natumia vile naimis hiyo ladha japo naamini kwa kufanya hivyo naongeza nguvu ya kinga mwilini.
Zoom! π πHapo nimekuelewa.
Twende kule kwingine sasa [emoji1][emoji1]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Zoom! [emoji28] [emoji28]
Tuko kwenye lockdown aisee, tuna-Zoom tu. π π[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Wee mlugaluga haufai kabisa
Hiyo lokidauni yao si iishe tu watu tupate uhuru wetu jamaniii[emoji1][emoji1]Tuko kwenye lockdown aisee, tuna-Zoom tu. [emoji28] [emoji28]