HahahahaMwanaume wa wapi huyu?View attachment 537904
Huwezi kuniambia mtu kazi yake anatumia nguvu umletee hizo sahani za mboga atakuelewa.Wanaume wa mkoa kazi kujaza vyoo tu. Tafuteni pesa acheni kujisifu kula kisado kizima cha mapera.
Jishangae wew unaenishangaa mimHuna cha kuandika zaid ya "thanks" , jishangae
Mkuu vipi hali kwa sasaYaan love anayo nipa huyu carbamazepine inanguvu sana soon nafunga nae pingu za maisha...
HahahhaahaDUuh yaan hao wakifanyiwa opareshen madokta watakuta minyoo tu tumbon
dagaaa wako wameboreshwausizani kwamba sili dagaa wa mafungu mkuu.
Hahahahaha huyo dogo anashangaa cmu haitoi flash..
Unaboa takupiga ban ohooThanks