Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huwezi kuniambia mtu kazi yake anatumia nguvu umletee hizo sahani za mboga atakuelewa.
Kwahiyo unataka kusema Tyson anakula magimbi na mihogo ya kuchoma...
01f2e8ecc3e040aba0edf555fc72f706.jpg
 
Tangu huyu jamaa wa mortuary anisalimie, *"Habari customer"*, nimeshikwa na kizunguzungu,ninahara damu alafu naskia nikama nkona mimba na mimi ni mwananume.[emoji17][emoji17][emoji17]

Bangi[emoji38] – 91
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106] 65%

Eeh,uko na mimba [emoji23] – 35
[emoji106][emoji106][emoji106] 25%

[emoji16][emoji16][emoji16] – 13
[emoji106] 9%

[emoji186] 139 people voted so far.
 
Njema tu, bado tuko na wkend ndefu.
Vizuri,rakebisha rekibisha hapo home,usafi wa mtoto kidogo,matembezi ya hapa na pale,hakikisha unamjibu mtoto maswali yake yote sawa?Ila akisema "mama eti baba ameenda Kibiti?" Mwambie "ushindwe",asinichulie [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] .
 
Hahahah halafu nasikia umenunua kiwanja huko kibiti
 
Back
Top Bottom