Gordita
JF-Expert Member
- Nov 4, 2013
- 11,574
- 55,644
hamorappa[emoji23] [emoji23] [emoji23]Haha
![]()
hamorappa[emoji23] [emoji23] [emoji23]Haha
![]()
Fatilia vizuri angalia kiasi ya chakula anachokula si unatuletea vinusu sahani hapa na kupoteza maboya.Kwahiyo unataka kusema Tyson anakula magimbi na mihogo ya kuchoma...![]()
AiseeehDating a Church Girl is the Best[emoji7][emoji7][emoji7]. I cheat,she finds out,we pray together and blame the Devil. [emoji19][emoji19][emoji19]
Hahaha eeHizi picha zote ziko kwenye simu yako?[emoji3][emoji3]
Mimi nakula milo 6 kwa siku -km nikifata ratiba yng... mfano hii ni chakula cha saa 12 kabla sijala saa 2:30Fatilia vizuri angalia kiasi ya chakula anachokula si unatuletea vinusu sahani hapa na kupoteza maboya.
Ni kweli,ila documents zilibaki kwa mwenyekiti ili zisainiwe.Jana kanipigia simu kuwa tayari nifuate,nimemruhusu akate jina langu aandike lake ili kiwanja kiwe chake.Alifurahi sana,amekata jina ila anaomba niende nikasaini lilipokatwa jina langu kuhalalisha ukatwaji wake.nsamaka, huyu mwenyekiti sio ziraili mtoa roho[emoji134] [emoji134] ? Mbona kaning'ang'ania niende?[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]Hahahah halafu nasikia umenunua kiwanja huko kibiti
[emoji120] [emoji120] God is greatAm fine mkuu thanks God
Good luckView attachment 537933
WAKATI ndoa yake na Rashid Said ‘Chid Mapenzi’ ikiwa na miezi kumi bila kujibu kwa kupata ujauzito, staa wa filamu za Kibongo, Shamsa Ford ameibuka na kufunguka sababu iliyomfanya kutobeba mimba hadi sasa. Shamsa aliliambia Risasi Jumamosi kuwa, watu wengi walishakariri kwamba mtu akiingia kwenye ndoa tu, anapata ujauzito kwa kipindi kifupi, jambo ambalo kwa upande wake ni tofauti kwa kuwa yeye na Chid Mapenzi walikubaliana kujipanga kimaisha kwanza ndipo waanze kutafuta mtoto. “Tunajipanga kwanza kimaisha. Hatuwezi kukurupuka tu ila ndani ya mwaka huu tunaanza kutafuta mtoto na tunamuomba Mungu atusaidie maana mtoto hutoka kwa Mungu, siyo kwa binadamu na kwa kuwa tutakuwa tumeshajipanga watakuwa wanapishana miezi sitasita tu,” alisema Shamsa mwenye mtoto mmoja aliyezaa na jamaa aitwaye Dickson Matoke
Loh, hata usiende. Kama hataki kusaini shauri yake.Ni kweli,ila documents zilibaki kwa mwenyekiti ili zisainiwe.Jana kanipigia simu kuwa tayari nifuate,nimemruhusu akate jina langu aandike lake ili kiwanja kiwe chake.Alifurahi sana,amekata jina ila anaomba niende nikasaini lilipokatwa jina langu kuhalalisha ukatwaji wake.nsamaka, huyu mwenyekiti sio ziraili mtoa roho[emoji134] [emoji134] ? Mbona kaning'ang'ania niende?[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]