Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Naona unataka kupoteza watu kwa kuaminisha hizo nusu sahani na vipande vya ugali ndio mlo kamili.



Waweke na range ya mda huku kibiti watu tunakula milo 3 kwa siku kama familia nyingi hapa tanzania.



Sawa we unaweka hizo nusu sahani naona unaleta mbwembwe nyingi.

Kumbe unakula milo 6.
Boss huko nyuma nilikulia maisha ya milo miwili, uji, vyombo vyote vinanuka dagaa... yani siku ya ubwabwa watoto wote tunaoga saa 12. Kuna siku inapita tunagonga mlo m1.
Huko tumetoka na hatutaki kurudi maana si sehemu salama aisee. Na tunapambana daily ili tuishi vzr zaidi
45c84b8484c2ae71b1a75319efd9746d.jpg
maisha mafupi boss.
 
Back
Top Bottom