kacnia
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 4,026
- 15,812
SpeechlessAmbazo ni kubwa kuliko za wanaume! Mimi ni Goddess Isis by the way
SpeechlessAmbazo ni kubwa kuliko za wanaume! Mimi ni Goddess Isis by the way
NiceView attachment 537938 View attachment 537939 Harusi ya @professorjaytz na Bi. Grace....Tazama Hapa
HahahahaSpeechless
YupSpeed ya farasi..
Goddes of loveHahahaha
Ukizeeka kila mtu unamfahamuMbona kama grace namfahamu ni member humu
Na maisha ndivyo yalivyo jana ulikuwa sehemu fulani, leo hapa, kesho level nyingine sababu hiyo kila mtu achoki kutafuta.Boss huko nyuma nilikulia maisha ya milo miwili, uji, vyombo vyote vinanuka dagaa... yani siku ya ubwabwa watoto wote tunaoga saa 12. Kuna siku inapita tunagonga mlo m1.
Huko tumetoka na hatutaki kurudi maana si sehemu salama aisee. Na tunapambana daily ili tuishi vzr zaidimaisha mafupi boss.![]()
IndeedGoddes of love
HahahahaNa maisha ndivyo yalivyo jana ulikuwa sehemu fulani, leo hapa, kesho level nyingine sababu hiyo kila mtu achoki kutafuta.
Sasa Boss si unavyoaminisha watu kuwa hizo staff zilizocontain all nutrients ndio mtu ufeed katika small ratio.
Unakula ratio ndogo ndogo ila katika mda mfupi mfupi hapo inakuwa sawa.
Sasa mtu unakula hivyo vinusu sahani inakuwa chakula cha siku hao ndio wanatusumbua jf na nyuzi za nguvu za kiume.
May bMbona kama grace namfahamu ni member humu
Hapo amemaliza ku cry in agonyUsicheze na mtoso kabisaaaView attachment 537940