Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Grandfather will save him. Na wote tuseme amen[emoji23][emoji23] poor wcbdaddy isi goingi
yeeemeeeennnnnGrandfather will save him. Na wote tuseme amen[emoji23][emoji23] poor wcb
Halafu watu tunalalamika maisha magumu, tafadhali waungwana!
Ha ha ha umenifanya nicheke kwanza mzee, ni juzi kati tu nilikuwa nmetulia home, nikawa sina cha kuangalia...wewe muhuni......juzi nilikuwa naangalia mpira kupitia televisheni ya ufaransa
half time niliona trailer ya series season 5.....
sifahamu lugha ya kifaransa ila hadithi yake inazungumzia maswala ya ugaidi (mashariki ya kati)
sijui legend (nimeshasahau)
ubarikiweHa ha ha umenifanya nicheke kwanza mzee, ni juzi kati tu nilikuwa nmetulia home, nikawa sina cha kuangalia...
Katika pitapita zangu kwenye site za series review..nikakutana na mzigo unaitwa The Bureau..mzigo uko na season 5...
Nikashusha episode moja kwanza.. Mzigo uko vizuri sana...
Umejaa mambo ya ugaidi na vita vya mashariki ya kati, Syria
Inaitwa The Bureau!!View attachment 1511961
Usiku wa kupeana raha