Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Siasa ni mchezo wa ajabu sana, Hanta kawa maarufu kuliko Mwakyembe?
Hanta nimesoma nae darasa moja shule ya msingi, hakuwa muongeaji mzuri maana lugha ilimtatiza, alitokea upande wa pili.
Sikuwahi kusikia amejiendeleza kielimu...
Huyu mshindi ndugu Ali Mlagila Jumbe ni mwenyeji hapo Kyela au ...?
Maana kukiangusha Kigogo kama Mwakyembe si jambo dogo ati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…