moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
BroSawa Fundi
Tumekukumbuka chifHabari zenu ndugu zanguni?
Mnakumbukwa sana na mimi
We jamaa upo?Habari zenu ndugu zanguni?
Mnakumbukwa sana na mimi
Kumbe Gwaji alifurukuta kiasi chake.
πππππ
Sasa sindio nimekutana na hiyo moja kwa moja.
Ila wewe!
Akimchamba naye anachambwa[emoji38]Kumbe Gwaji alifurukuta kiasi chake.
Arudi kanisani aendeleze mahubiri maana hata mbaya wake hana lolote tena, keshang'olewa meno.
Akaendeleze vichambo[emoji1787][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Kwamba na mimi nimejitega kama wewe ulivyo jitega kwenye mafuta?! [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Kwa hiyo na wewe una umri sawa sawa na Hanta eeeh!? Gotcha [emoji16][emoji16][emoji16]
Inawezekana Hanta kwa sasa ana hela sana. Ndicho chenye uzito kwenye haya mambo shemeji.
Na upande huo wa pili ni upi? Kwa Kamuzu au kwa Kaunda?
Yule kilaza wa Dar alijiona nusu malaika, acha wamsimangeAkimchamba naye anachambwa[emoji38]
Salama bro kila kitu kipo kwenye mstari, naimani hapo home pia hamjamboMkuu Davet, nakuona kwa mbaali, habari za ukimya bro
Sema Gwajima naye kichaa tuYule kilaza wa Dar alijiona nusu malaika, acha wamsimange
Nimewakumbuka pia bro, huu ukimya umenifanya nigundue kuwa hapa pia ni kama nyumbani kwetuTumekukumbuka chif
Hahahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23]Kwamba na mimi nimejitega kama wewe ulivyo jitega kwenye mafuta?! [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Familia yao nzima ilitoka kwa Kaunda
Embu nitolee uchuro hapa πWe jamaa upo?
Hadi nikajua umekufa[emoji4]
Sasa hata hunikaribishi kwanza ππWeeeee hakunaga coincides za hivi. Mara paaaaap hawachi wetu nae anarudi aiseeee acha king aitwe kingiiiiiii
Hapa home kwema, ila kuna matukio matatu yalikupita bro.Salama bro kila kitu kipo kwenye mstari, naimani hapo home pia hamjambo
Mi sina matatizo na Gwajima maana hajawahi kutukwaza wakazi wa jiji hiliSema Gwajima naye kichaa tu
Nyani haoni kundule
Yule kilaza wa Dar alijiona nusu malaika, acha wamsimange
ππππππππHapa home kwema, ila kuna matukio matatu yalikupita bro.
1. Baada ya Corona, Liverpool walitwa Ubingwa wa Premier.
2. Baada ya kutoweka Corona Tanzania Simba sport Club walitwaa Ubingwa wa V Premier league.
3. Yanga walifosi kuingia nusu fainali za Kombe la FA kwa dhulma, wakaja kucharazwa bao 4-1 na Simba na kuondoshwa kwenye mashindano hayo.
Ni hayo tu bro mengine ni mambo ya kawaida sana[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Ni mkazi wa muda mrefu na mfanyabiashara tangu enzi, tunatoka shule ile likizo tunafuata mizigo yake kule...kwa baiskeli, kipindi hicho @ 20kgs kwa sh.300,utabeba mifuko mingapi ni nguvu zako na uwezo wa kuikwepa difenda nyeupe.Huyu mshindi ndugu Ali Mlagila Jumbe ni mwenyeji hapo Kyela au ...?
Maana kukiangusha Kigogo kama Mwakyembe si jambo dogo ati