Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Sasa hata hunikaribishi kwanza ππ
Niache kwanza nipumzike basi. Eeh!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Embu nitolee uchuro hapa [emoji16]
Mimi nipo aisee!
Kwahiyo umekuja kupumzika au siyo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sitaki kuamini kama hapa ndani ukarimu umepotea kiasi hichi, mtu kapotea muda mrefu anarudi hata hajapumzika tayari anapewa habari kama hizi kweli, bado nikiwaza na zile habari za Binti mpole tena. Daah!
Hongera sana bro kwa kutwaa ubingwa ndani na nje japo ubingwa wenyewe hauna mzuka ila ndio kimfaacho mtu tena [emoji16]
Halafu mmenikumbushaππππππππ
Sitaki kuamini kama hapa ndani ukarimu umepotea kiasi hichi, mtu kapotea muda mrefu anarudi hata hajapumzika tayari anapewa habari kama hizi kweli, bado nikiwaza na zile habari za Binti mpole tena. Daah!
Hongera sana bro kwa kutwaa ubingwa ndani na nje japo ubingwa wenyewe hauna mzuka ila ndio kimfaacho mtu tena π
Makonda aliwakwaza na nini?Mi sina matatizo na Gwajima maana hajawahi kutukwaza wakazi wa jiji hili
Hahah!Karibuuuu
Ingia yako kama goli la laporge vile halafu unajikausha sio offsideView attachment 1513152
Hahah!
You are much missed Numby
πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈ KD was hereHalafu mmenikumbusha
Basi kale kambuzi ketu opsss ka goat kamemaliza msimu vibaya
1. Wenye pulizo lao sijui ballon kuona mtu wao kaangukia pua wamefuta shughuli kisa na mkasa corona
2. Mambo yameanza kua fayaaaa mchezaji kageuka kocha,benchi la usajili,benchi la kumbania griez,fan wa neymar
3.immmooooobilllllleee chaliii cheiii. G.O.A.T yupo pale juu kabisa kawakalia wenzie hakuna cha lukaku wala nini
4. Baada ya kupokea kombe tu Liver wanaoga vichapo kwa kwenda mbele mpaka wanasahau rekodi gani walitaka kuivunja msimu huu
[emoji125][emoji125][emoji125]ngoja nikachungulie kura za maoni za kanye west kule kwa trump
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sitaki kuamini kama hapa ndani ukarimu umepotea kiasi hichi, mtu kapotea muda mrefu anarudi hata hajapumzika tayari anapewa habari kama hizi kweli, bado nikiwaza na zile habari za Binti mpole tena. Daah!
Hongera sana bro kwa kutwaa ubingwa ndani na nje japo ubingwa wenyewe hauna mzuka ila ndio kimfaacho mtu tena [emoji16]
Jamaa ni ovyo sana, inadaiwa ukiishi kijijini muda mrefu kisha uje upate madaraka au pesa utawasumbua sana watu.Tatizo jamaa hajui kuishi na watu vizuri aise
Heheh! Hivi haya maswali vipi au umekuwa muandishi siku hizi? π[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi ni kweli ulipotea??
Au ulikuwa kutia nia?
Roho mbaya umeanza lini? πKwahiyo umekuja kupumzika au siyo?
Hatukupumzishi ng'oo[emoji4]
Ana historia nzuri sana.Ni mkazi wa muda mrefu na mfanyabiashara tangu enzi, tunatoka shule ile likizo tunafuata mizigo yake kule...kwa baiskeli, kipindi hicho @ 20kgs kwa sh.300,utabeba mifuko mingapi ni nguvu zako na uwezo wa kuikwepa difenda nyeupe.
Anaijua Kyela vizuri sana, ni "shemeji wa wilaya"
π€π€Same here much more hasa kucha zetu
Bado nahangaika kujua umri wa Hanta [emoji16][emoji16][emoji16]Kwamba na mimi nimejitega kama wewe ulivyo jitega kwenye mafuta?! [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Familia yao nzima ilitoka kwa Kaunda
Wahenga tuje tukutane siku moja ili kukata mzizi wa fitina. Haki ya nani nyote humu mtanipa shikamoo [emoji123][emoji123][emoji123]Hahahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23]
Unakumbuka hiyo, ati ana miaka 75, lakini alitumia Ray's akiwa primary wakati mafuta ni ya miaka ya 80 na 90.
Wakati huo watu tulishaanza maisha kitambo sana[emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Embu nitolee uchuro hapa [emoji16]
Mimi nipo aisee!
1. Aliwanyima nafasi bodaboda wasifanye kazi zao kwa amani wakati serikali imeruhusu biashara hiyoMakonda aliwakwaza na nini?
We Mndali nawe vipi? Haya ndo maneno gani sasa? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]We jamaa upo?
Hadi nikajua umekufa[emoji4]