moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
[emoji23][emoji23][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Kama umepita njia ya mkato Kitomondo kutokea ukuta wa jeshi na kuvuka barabara kwenda maeneo ya...hauna uhenga wa kututisha,miaka ya 80 eneo lote lile lilikuwa bwawa hakupitiki.
Hawachi pia naamini atarudi sasacarbamazepine njoo umuone King
Unanichosha mama furani[emoji23]Unadhani Sababu ni ipi ya wao kufanyiwa hivyo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama hauna ushahidi basi ni story kama stori nyingine za vijiweni.
Ndiyo,Mimi ni hakimu[emoji4]
Ndiyo@hawachi pia naamini atarudi sasa
Nijibu huko ustaadh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unanichosha mama furani[emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haya umeshaongea tumekusikiaSasa likes zitawasaidia nn dunia ya leo?
Mama moud usinichoshe[emoji23]Nijibu huko ustaadh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwanangu nimemwita jina lako[emoji4]
Sasa likes zitawasaidia nn dunia ya leo?
Tumuombe Yegomasika alete viglass vya mvinyo mwekundu, tumaua na tugauni twa kusambaa chini nina uhakika atatokea kivuruge na pia tumuombe binti mpole aanze kumsifia sana CR7 na kumponda Messi Goti mzee, Kijana Mpole ataibuka ghafla kujibu mapigoNina wasiwasi na Kivuruge. Alikuwa mbele kabisa katika uwanja wa mapambano. Natumaini hajambo. Kijana mpole naye sijui kakwama wapi.
View attachment 1513237
Wewe mwenyewe si umetoa hojaMama moud usinichoshe[emoji23]
Ndio shida ya kuelimika sana.Sasa likes zitawasaidia nn dunia ya leo?
Dah [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]Mwaka 1975 Masters ila rays (1986) ulipaka ukiwa unaenda shule [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haya umeshaongea tumekusikia
Kachote maji kisimani hapo dogo ukoge.
Ukame unakuchanganya wewe
Yego tena najitahidi kumpa mbinu mpya siku hizi lakini kama kawaida yake he is too sloooo [emoji16][emoji16][emoji1734]Tumuombe Yegomasika alete viglass vya mvinyo mwekundu, tumaua na tugauni twa kusambaa chini nina uhakika atatokea kivuruge na pia tumuombe binti mpole aanze kumsifia sana CR7 na kumponda Messi Goti mzee, Kijana Mpole ataibuka ghafla kujibu mapigo
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]pole shemeji [emoji119]Dah [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
View attachment 1513243