Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

STAA kutoka Bongo Muvi, Aunt Ezekiel ameweka wazi kuwa wazo la kushika ujauzito hivi karibuni halipo na kwamba kuzaa tena labda mpaka mwaka 2027 ambapo mtoto wake, Cookie atakuwa amefikisha miaka 10. Akizungumza na Star Mix, Aunt alisema kuwa maisha ya sasa yamebadilika sana ni lazima hata kwenye kuzaa mtu ujipange ili kutoa nafasi nzuri kwa watoto kuweza kusoma na kuishi maisha bora kuliko kuwatesa. “Jambo la kuzaa sasa hivi hapana kabisa labda miaka kumi ijayo kwa kuwa maisha yamebadilika sana jamani sio rahisi kama ilivyokuwa huko nyuma maana hata watoto watano ningezaa,” alisema Aunt. .
 
Mimi nakula milo 6 kwa siku -km nikifata ratiba yng... mfano hii ni chakula cha saa 12 kabla sijala saa 2:30
Chipsi, calamari, prawns na juice.
Naona unataka kupoteza watu kwa kuaminisha hizo nusu sahani na vipande vya ugali ndio mlo kamili.



Waweke na range ya mda huku kibiti watu tunakula milo 3 kwa siku kama familia nyingi hapa tanzania.



Sawa we unaweka hizo nusu sahani naona unaleta mbwembwe nyingi.

Kumbe unakula milo 6.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…