Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wakati mwenzako kichwa kinauma kwa kazi ya kuchota maji ya kuoga, baadaye anawasha data anakutana na uzi wa likes, kwamba mzee mwenye miaka 75 na vijukuuu na vitukuu vyake wanapambania stori wapate likes, lazima ajiulize.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089]
Maana huwezi kujua huenda likes zinaleta mabomba ya maji mpaka UDOM[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yana ugumu gani sasaMaswali yako magumu sana, maswali yamejaa upekepeke kama kuku wa kienyeji [emoji23][emoji23]
[emoji26]Usijifanye hujui rmtafadhali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wewe si ndiye ulianza kutoa hoja mie nikakuuliza maswali kwenye kila hoja yakoAcha kutuchombeza tukaishia kuumizwa.
Kwani umetumwa?
Amin[emoji120]Asante sana Bro... Tukawe na siku njema,Mungu abariki kazi za mikono yetu.
Mafuta reys ni ya miaka ya 88 - 2000.[emoji23][emoji23][emoji23] kwamba Bro Shimba hastahili umri ule wa kutumia mafuta ya Ray's
Umekula chumvi ya kutoshaKm ni miaka ya 80 basi na mm nilikuwepo.
80-89 nachezea humo[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Hahahahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na wewe miaka hiyo ulikuwa unakatisha mitaa hiyo kwenda kibaruani? Utamfanya kaka yako Ngosha aonekane mdogo sana [emoji1][emoji1][emoji1]
Nimeshasema tukutane Desemba hii Mungu Akituweka hai tukate mzizi wa fitina. Andaeni shikamoo zangu tu wallahi [emoji123][emoji123][emoji123]Mafuta reys ni ya miaka ya 88 - 2000.
Yeye anasema wakati huo alikuwa primary.
Dhahiri yupo under 45.
Lakini miaka 45 ni umri mkubwa bro, ingawa hawezi kumfikia mzee wetu wa Mwakaleli
Ngosha njoo uone[emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]Na wewe miaka hiyo ulikuwa unakatisha mitaa hiyo kwenda kibaruani? Utamfanya kaka yako Ngosha aonekane mdogo sana [emoji1][emoji1][emoji1]
Acha wafurahishane tu. Nsamaka last born anazaliwa mi nshamaliza chuo tena shahada mbili...Hakuna anayenizidi umri humu !!!Ngosha njoo uone[emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]