Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Makavu laivu [emoji16][emoji16][emoji16]

"Kwenye taarifa yenu hapa mmesema kuwa mnataka kujenga Ofisi za TAKUKURU Chato mimi nawashangaa, Chato wana Ofisi za TAKUKURU tayari. Wakati mwingine msiongee tu kwa kunifurahisha au kujipendekeza, ni heri mjipendekeze nikiwa nimeshatoka Ikulu" Mhe. Rais Dkt. @MagufuliJP
 
“Mjipendekeze Chato wakati nimeshaondoka kwenye Urais, Chato wana Ofisi ya TAKUKURU, mnajenga nyingine yanini? au ulifikiri nitafurahi ukisema Chato? mimi moyo umeshakuwa Sugu, Spika anasema hakuna Ofisi Kongwa hiyo mliyotaka kujenga Chato mkajenge Kongwa” -JPM
#MillardAyoUPDATES
 
Elewa nilichosema, rafiki yangu mmoja alitulia mahali pa pekee, akawa unavuta sigara alikamatwa akalipishwa sh 50,000/
Kaka yangu alikamatwa akivuta sigara akiwa peke yake naye alidakwa.
Huu ni ujinga.
Kila mmoja anajua kuvuta sigara mbele za watu ni kosa, utamkata vipi anayevuta akiwa peke yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…