Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Na maisha ndivyo yalivyo jana ulikuwa sehemu fulani, leo hapa, kesho level nyingine sababu hiyo kila mtu achoki kutafuta.

Sasa Boss si unavyoaminisha watu kuwa hizo staff zilizocontain all nutrients ndio mtu ufeed katika small ratio.

Unakula ratio ndogo ndogo ila katika mda mfupi mfupi hapo inakuwa sawa.
Sasa mtu unakula hivyo vinusu sahani inakuwa chakula cha siku hao ndio wanatusumbua jf na nyuzi za nguvu za kiume.
 
Hahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…