Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ndugu yangu. Mchakato wake ni mgumu sana. Inabidi uanze kujiimarisha huko jimboni kwa kusaidia jamii mapema ili ujulikane. Shida hata ukijaribu kufanya hivyo akina Joka Makengeza wanaanza kukuchunguza. Yupo jamaa yangu MD Bingwa wa magonjwa ya watoto alianza kujenga vituo vya afya kwa ajili ya watoto pale Wilayani. Alitaka kituo cha pale Wilayani kiwe chenye hadhi sana na yeye awe anakwenda kila mwaka mara mbili na jopo la madaktari wenzake na kutoa huduma bure. Alipigwa vita mpaka akabwaga manyanga. Akaamua kulitoa jengo bure napo akakataliwa. Aliishia kuwapa ndugu zake nao hawakujua wafanye nini. Lipo mpaka leo limekuwa pagale.Hata hivyo kamanda nakupa ushauri, kabla hujafikisha umri wa miaka 55 urudi Magu ugombee ubunge ili uisaidie jamii yako
[emoji16][emoji16][emoji16]dah unaweza kufa aisee!![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1514899
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]
Sio wanasiasa tu Hata watumishi wa sasa hiv nao wamejaza matope tu vichwan kwao wamekarilia kujipendekeza kwa viongozi tuTatizo kuu la wanasiasa ndilo hili......
Majimama siyo mchezo.[emoji16][emoji16][emoji16]dah unaweza kufa aisee!!
Na wewe beba kombe upige kelele kama unaona kubeba rahisiIla mashabiki wa liverkuku wana kelele
Sio wanasiasa tu Hata watumishi wa sasa hiv nao wamejaza matope tu vichwan kwao wamekarilia kujipendekeza kwa viongozi tu
Huku kwangu kwema mkuu[emoji1]Majimama siyo mchezo.
Kwema huko kwako?