Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuwa makini sana na hao jamaa
 
Kwema kabisa The don, Jamani mbona nitapata adhabu kwa kukutupa sasa, maana nimezidisha..!


Ngosha wa sapiwi yupo anagangamala, aje aiinue simiyu mpya[emoji16][emoji16], nitamsalimu nimwambie Gashimba amekukumbuka[emoji2088]

Mwambie Simiyu lipo liChenge Joka Makengeza lina pesa za kumwaga hatuna shida aisee. Na siku hizi lina kiwanda cha mikate ukijisikia njaa unapita tu kiwandani unapewa limkate lizima bure unakwenda huko unajipigilia na maji tumbo ndii [emoji16][emoji16][emoji16]

Kuhusu kunitupa nitakutafutia adhabu wala usijali. Asante TH [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…