moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Sawasawa..Tembo husaidia kusafisha na kutengeneza mazingira ya mbuga. Tembo wasingekuepo, mazingira ya savana yangeonekana tofauti sana. Tembo hula mimea na vichaka vya miti ambapo hufungua misitu na mapori kuwa mbuga wazi kutoa nafasi kwa mimea mengine kuota na njia kwa wanyama wengine.