moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Hata mie nashangaa sema siku hizi kuna mambo mengi mitandaon hivyo muda unapotelea huko.Eehwaa ikiisha ndio inakuwa vizuri, halafu Uvivu umeupata wapi?.ghafla namna hiyo
Mie sasa Napambana na healer mchana,
Usiku whats happen to myfamily...niko hoi
AiseeKuna watu wamepigwa malaki kwa ufugaji wa kuku. Kuna jamaa alianzisha project ya kuku farm watu wanatoa hela anawafugia kuku eti watakua wanavuna hela tu kuku wakitotoa mayai
GGMU... Haikuwa kazi rahisi
Naskiza sana! Ila hawa nawajua kwa wimbo mmoja.coco huwa unasikiliza kwaya? Hawa zabron singers wanawawakilisha vizuri
[emoji120]Moja kati ya quotes zake aliwahi kusema kuwa "sijawahi kukutana na mtu yeyote na nikashindwa kujifunza lolote kutoka kwake"
Kamanda amerejea! How Joy!!Arudi nyumbaniView attachment 1518781
Moja ya movie bora ya kivita ya wakati wote...Ukitazama movie ya kivita ya Hacksaw Ridge iliyotoka mwaka 2016 imechezwa kufuatisha story nzima ya Desmond, na shujaa kwenye movie hiyo ni Andrew Garfield aliyecheza kama Desmond.
Na kweli siku hizi Mambo ni Mengi.Hata mie nashangaa sema siku hizi kuna mambo mengi mitandaon hivyo muda unapotelea huko.
Zote nzuri. Lazima uwe hoi hapo.
Haujambo shem?Na kweli siku hizi Mambo ni Mengi.
[emoji16][emoji16]Nishapanda cheo sasa uhuuuuu.....Sijambo Shem, habari za Tangamano?Haujambo shem?
[emoji23][emoji23] mambo ni mengi, muda ni mchache...umepanda tayal[emoji16][emoji16]Nishapanda cheo sasa uhuuuuu.....Sijambo Shem, habari za Tangamano?