Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Baada ya sultan Khalid kukimbia, ndipo Uingereza ikampitisha mtu wao *Hamud bin Muhammed,* kuwa sultani wa Zanzibar kwa miaka 6 iliyofuata.

Inaelezwa kwamba Khalid alipotoroka kumbe alipewa hifadhi na balozi ya ujerumani hapo Zanzibar na kisha baadae akasafirishwa na meli za wajerumani kuja Tanganyika (koloni la ujerumani)

Ilipofika mwaka 1916, wakati wa vita ya kwanza ya dunia tuliona majeshi ya Uingereza yanavamia makoloni ya ujerumani ikiwemo Tanganyika, ambapo *Khalid* alikamatwa na kupelekwa Seychelles , lakini baada ya miaka michache alirudishwa Mombasa ambapo alifariki Mwaka 1927.
 
Duuu Klopp hana adabu kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unamuansha mzee wa watu saa 9 usiku umueleze tukio ambalo kila mmoja ameliona!!?[emoji1786][emoji1786][emoji1786][emoji1786]
Kupata comment ya mtu kama Sir Alex Ferguson ni heshima kubwa sana hata ingekua mimi ningependa kuskia kitu kutoka kwake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…