Patra31
JF-Expert Member
- Apr 24, 2020
- 6,934
- 13,954
Labda ilo pato liwe kwa mwaka sio kwa sikuSerikali ya Tanzania awamu ya 3 wameweka hicho kipaumbele kulingana na fursa tulizonazo.
2025, uvmchumi wa kati, wastani wa kila raia $3,000.
Usilinganishe Tanzania na Bosnia Montenegro, Bulgaria, Romania na vinchi vya aina hiyo.
Tanzania iweke kundi la Netherlands, Sweden, Norway, Denmark , Finland nk.
Sisi ni Dona Kantri[emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Huenda walitaka wakafanye kampeni msibaniWalitaka sifa za kijinga
Unanitisha, mi usiku wa leo sikulala kabisaWatu wanaochelewa kulala (Mabundi) wana hatari ya 10% zaidi ya kufa mapema, Kuchelewa kulala huongeza; Hatari ya magonjwa ya moyo, Kisukari na matatizo ya kihisia.
Ndio tunamjua mhuni akiwa na ofisi ya umma ni zaidi ya Jpm, akipewa cheo itabidi watu watupe device zao wanaweza kuwekewa jiwe kubwa bahariniMuhuni anadai wanaomcheka hivi sasa anawarekodi, Mkulu akimpa shavu atawafanya kitu mbaya wanaomcheka hivi sasa ili kuwakomesha[emoji23][emoji23]