Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Watu walio fanya mambo huwa hawaelezei wanaacha mambo yazungumze. Itoshe kusema utawala wa JK ulikuwa bora kuliko maelezo.
Mimi nimempa HONGERA zote JK hasa jinsi alivyoimarisha DEMOKRASIA chini ya utawala wake.

Kuna mwandishi anaitwa Ansbert Ngurumo.
Bwana huyu alikuwa muhariri wa gazeti la TANZANIA DAIMA.
Ngurumo alitumia ukurasa wa mbele wa gazeti hilo kila jumapili kumtukana Kikwete.

Ngurumo alirusha matusi ya nguoni kwa JK, lakini JK mwenyewe alikuwa kimyaa.
Mwandishi yule kwakuwa alizoea kuishi maisha yaliyompa uhuru kumtukana yoyote, hivi leo yupo ukimbizini.
Pole Ngurumo.
Nadhani kiongozi wa nchi anatakiwa awe na subira za aina ya JK
 
Aisee huyu jamaa Yupo nchi gani
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani Mkuu Nilipata hasara tena nilipiga ma k vant ya kufa kwa hasira nilizokuwa nazo aisee wajumbe wasikie tu kwa mwenzako hawana maana kabisa
Unajua mwanzo nilijua unatania sikuchukulia serious.
Nikupe tu hongera kwa kuthubutu ila wajumbe wakishikamana sio watu wazuri [emoji1][emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…