Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kijana mpoleeeee
Handsome wetu,mzima?
Salama kabisa,za kupotea?nikakumiss kama messi na free kick zake za karibuniMzima sana mimi Hofu nyingi kwako Binti pekee mpole
Za miaka
Heee!!! Shombe shombe beiiibi kaenda?!!Mfalme mtamsingizia. Kuna njemba nyingine tu nasikia imeamua kubeba jumla. Ila sitaki maswali [emoji850][emoji850][emoji850]
Siku akirudi usinitaje kwa sababu mtiti wake utakuwa si wa kitotoHeee!!! Shombe shombe beiiibi kaenda?!!
Kuna mijamaa mikatili jamani, kwani sisi tulikuwa tuna faidi sana? Huko koote hamna ila kaona kwenye kijiwe chetu?!!
Ukute huko wanatucheka kwa udomo zege wetu [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Nenda Mpendwa jihondomolele kwa raha zako, siumii wala nini... Ila ungesema kuwa upo availabo wengine tungejaribu kutupiamo... Dahh!!! Hawachi kaolewa?!!
Mabeberu siyo watu. Nchi tajiri karibia kuliko zote Afrika kwa maliasili na utajiri wameigeuza shamba la bibi...Jamhuri ya kidemokrasia ya kongo (DRC): Nchi masikini zaidi Afrika kwa viwango vya pato la taifa.
Asante Mkuu OGS anafanya vizuri mpeni mudaMkuu mambo powa Mzee wa liver kitambo sana
Hongera kwa Ubingwa
Shemeji siwezi kukutaja kabisa, na kwasababu umesema njemba ni ya kwenye uzi huu,basi,akifaidi yeye tumefaidi woteSiku akirudi usinitaje kwa sababu mtiti wake utakuwa si wa kitoto