Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Unaweza ukatumia wakati huo hata kwa kusoma kitabu cha msingi kitakachoweza kukusaidia katika maisha yako. Unaweza ukapanga pia wakati huo kabla ya kulala.
Heart[emoji174]Between your phone and your heart which one has the most cracks?
Salama kabisa,za kupotea?nikakumiss kama messi na free kick zake za karibuni