Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG-20200731-WA0009.jpg
 
Mwanasayansi toka ujerumani Heinzmann, aligundua kuwa chura akiwekwa kwenye chombo tuseme sufuria yenye maji baridi , halafu maji hayo yakaanza kupashwa moto kidogo kidogo , basi chura huyo wala hatohangaika kutoka kwenye maji, na hatimaye kufa wakati maji hayo yatakapokuwa ya moto kweli kweli. Ingawaje kuna mabishano ya kisayansi kuhusu usahihi wa madai ya Heinzmann, leo utajifunza kitu kuhusu habari hii ya chura.
 
Jamii yetu inaporomoka kimaadili siku hadi siku, kiwango cha elimu kinashuka na hata ufanisi makazini ni ishu. Hata hivyo matatizo hayo ya mfumo wetu wa maisha hayajaanza leo, hayakuwa makubwa kiasi hiki kipindi kirefu kilichopita, ila yameendelea kukua kidogo kidogo kama vile yale maji yanavyoongezwa joto ili kumuunguza chura.
 
Back
Top Bottom