andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Mwakyembe katusumbua sana Kyela, matusi yake ya hovyo hovyo tu, "mara ohh mnataka maji ya bomba kuna umbali gani kuchota mtoni? Wamama mmekuwa wavivu hata kuoga mnashindwa?!! Uchafu wenu ndio ulio nifanya nisioe huku,nimeoa mchaga...." Walimuapia hatapita uchaguzi huu,mapema kabisa kaliwa ndani ya chama.Awamu ya JK ilikua ngumu sana kwa raia daraja la mwisho
Mjinga sana huyu jamaa. Ni mtu wa majivuno na visasi na aliiba kweli kweli wakati wa uwaziri wake. Kuna jipisi moja nilikuwa nalihondomola kipindi fulani kuja kugundua kumbe wana ukaribu sana ndo nikawa napewa mambo ya hovyo tu kifamilia. Wala hahitaji pesa kwa sababu ana millions tena US $ lakini bado anapambania ubunge. Sad !!!Naona analilia huruma ya kamati kuu.
Huyu jamaa uwaziri ulimtia kiburi daah
Hakika Mungu ni mwema kwa huu uzima maana ndio mtaji wetu hapa duniani.Tunamshukuru Muumba kwa uzima tulionao mkuu
Aiseee huyu jamaa hana shukran nae kuumwa kote kule bado watu wakampa ulaji ila anawatukana duh. Juzi jamaa alianzisha uzi alipata dharura usiku sehemu isiyo na usafiri ila kulikua na trekta la mwakyembe akaomba kuazima ampeleke mgonjwa wake hosp alimwagiwa kashfa balaa mwisho wa siku mgonjwa akafarikiMwakyembe katusumbua sana Kyela, matusi yake ya hovyo hovyo tu, "mara ohh mnataka maji ya bomba kuna umbali gani kuchota mtoni? Wamama mmekuwa wavivu hata kuoga mnashindwa?!! Uchafu wenu ndio ulio nifanya nisioe huku,nimeoa mchaga...." Walimuapia hatapita uchaguzi huu,mapema kabisa kaliwa ndani ya chama.
Mzee wa pwani nae wajumbe wamezionja za awali, muda utafika atafunguka tu [emoji1][emoji1][emoji1]Ndiyo wanafunguka sasa. Si ajabu hata huyu bilionea wa madini na utalii naye kapigwa. Shikamoo wajumbe [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Kasema alitia nia ila hakuijaza fomuNdiyo wanafunguka sasa. Si ajabu hata huyu bilionea wa madini na utalii naye kapigwa. Shikamoo wajumbe [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Aaa wapi. Tumpe muda maumivu yapungue atafunguka tu. Tena yeye Ostaadh hata ma K Vant hatumii maumivu yake sipati picha [emoji16][emoji16][emoji16]Kasema alitia nia ila hakuijaza fomu
Juzi alisema yeye na siasa hawawezani. Leo imekuwa aliishia kutia nia tu. Kesho na keshokutwa itakuwaje?Mzee wa pwani nae wajumbe wamezionja za awali, muda utafika atafunguka tu [emoji1][emoji1][emoji1]
Shida yetu ipo kwenye uzalishaji,hatuna uwezo wa kufikiria miradi mbadala wa taslimu,wengi wetu tunadhani utajiri ni taslimu/bank account ijae mihela isiyo zalisha. Ni wizi wa kijinga sana kama haunufaishi jamii inayo kuzunguka.Mjinga sana huyu jamaa. Ni mtu wa majivuno na visasi na aliiba kweli kweli wakati wa uwaziri wake. Kuna jipisi moja nilikuwa nalihondomola kipindi fulani kuja kugundua kumbe wana ukaribu sana ndo nikawa napewa mambo ya hovyo tu kifamilia. Wala hahitaji pesa kwa sababu ana millions tena US $ lakini bado anapambania ubunge. Sad !!!
Yote anayo ongelewa hasingiziwi, hata kwenye misiba tutakusanyika wote wanandugu lakini yeye hautamuona hadi msiba unaisha. Msiba wake ulihudhuriwa na wageni wengi lakini ndugu walikuwa wachache kwa sababu ya majivuno yake, Mwamunyange alijitahidi sana kumbadilisha lakini wapi...Aiseee huyu jamaa hana shukran nae kuumwa kote kule bado watu wakampa ulaji ila anawatukana duh. Juzi jamaa alianzisha uzi alipata dharura usiku sehemu isiyo na usafiri ila kulikua na trekta la mwakyembe akaomba kuazima ampeleke mgonjwa wake hosp alimwagiwa kashfa balaa mwisho wa siku mgonjwa akafariki
Masha alipokua waziri alikua anawaita polisi mbwa daah
Mzee wa pwani shwaini zake [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Juzi alisema yeye na siasa hawawezani. Leo imekuwa aliishia kutia nia tu. Kesho na keshokutwa itakuwaje?
Wajumbe siyo watu [emoji16][emoji16][emoji16]Mzee wa pwani shwaini zake [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]