mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
[emoji23][emoji23]Yaani nyie wazee kumbe wengi mlikuwa kwenye huo mlengo? Hata huyu mzee wa suruali za vitambaa ho chi minh kuna uwezekano mkubwa alitia nia wajumbe wamemla kichwa, amekuwa mpole sana siku hizi
DuuAlimchapa kofi mlinzi mmoja wa atm alimtaka apange foleni jamaa alichapwa kibao matusi kede kede akafukuzwa kazi