Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kama hukuwahi kutoa mimba Mungu Atakujalia. Ila kama kama ulikuwa unazitoa, pambana tu na hali yako kwa sababu hakuna namna. Na siyo lazima kuzaa wa kwako. Kwa vile una pesa unaweza kuasili tu (ku-adopt)
View attachment 1524112
Maisha ya urembo, umaarufu na kubadirisha badirisha mahusiano aliyopitia Wema, sidhani kama hakuwahi kuchololopoa kitoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…