Watoto wawili wenye umri wa miaka mitatu na 10 waliepka ajali katika nyumba ya gorofa iliyokua ikiungua moto katika mji wa Ufaransa wa Grenoble kwa kuruka mita makumi kadhaa, na kudakwa mikononi na watu wazima waliokua chini ya jingo lao.
*HIVI SHABIKI WA ARSENAL TIMU YAKE IMECHUKUA FA JANA TENA LEO TIMU YAKE YA SIMBA IMECHUKUA FA .... SHABIKI HUYO AKIITWA MWANA FA KUNA TATIZO?*[emoji16][emoji16]
Kwa wastani unapata usingizi ndani ya dakika 7 baada ya kupanda kitandani wakati wa usiku, Lakini unapata Usingizi ndani ya Sekunde 03 wakati wa Asubuhi unapojilazimisha kuamka.