Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwa mujibu wa utafiti wa Chuo Kikuu Cha Johns Hopkins, kuna watu huzaliwa na uwezo mkubwa au kidogo wa kufanya hesabu.
Ndiyo. Kutokuwa na uwezo wa kufanya hesabu kabisa tunaweza kusema ni matatizo ya ubongo sehemu inayoshughulikia mawazo dhahnia (abtract ideas) kutokakamilika sawa sawa au kutofanya kazi vizuri. Ni aina fulani ya ukilema wa ubongo. Na mtu asiyejua hesabu hata ufanye nini haitatokea aziweze kamwe mbali na kukariri kariri fomyula tu na kubangaiza bangaiza lakini zenyewe kabisa kabisa makalikyulasi ya akina Yego kwenye PhD za Electrical Engineering hata umuue hataweza...
 
Wajumbe wa mwaka huu wanaspana Malaya inaingia kotekote 5+2=lijualikali
JamiiForums390473112.jpg
 
Ndiyo. Kutokuwa na uwezo wa kufanya hesabu kabisa tunaweza kusema ni matatizo ya ubongo sehemu inayoshughulikia mawazo dhahnia (abtract ideas) kutokakamilika sawa sawa au kutofanya kazi vizuri. Ni aina fulani ya ukilema wa ubongo. Na mtu asiyejua hesabu hata ufanye nini haitatokea aziweze kamwe mbali na kukariri kariri fomyula tu na kubangaiza bangaiza lakini zenyewe kabisa kabisa makalikyulasi ya akina Yego kwenye PhD za Electrical Engineering hata umuue hataweza...
Aisee...
 
Back
Top Bottom