Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

masikini, yule bilionea yussuf manji ameishia wapi?
nguvu ya serikali inafurahisha na pia inaogopesha sana ndio maana wajinga wengi hujisahau na kuishia kuwa madikteta na werevu wengi huishia kuwa viongozi bora na wakuheshimiwa
Manji yupo Marekani ameuguza majeraha yake amepona, ameamua kupumzika anasubiri baada ya miaka mitano anarudi aanze upya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…