Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Shakuntala Devi wa India, Anajulikana Kama Human Computer. Ndani ya Sekunde 28 tuu June 18, 1980 Akiwa Katika Chuo cha Imperial, UK Alipewa na Kufanya Swali la Kuzidisha 7,686,369,774,870 × 2,465,099,745,779 = 18,947,668,177,995,426,462,773,730. Alifariki 2013 (83)
 
Kama unaitwa the happiness, unasoma SUA na registration number HNU/D/2017/0045 kuna mtihani wako nimeuokota hapa karibu na Pest Management,una michoro michoro na maelezo mengi umepata 28/100. Halafu mwandiko hauridhishi dada.
[emoji28][emoji28][emoji28] we bwana Urojo wafata nn kwenye viunga vya Chuo huku.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…