The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,990
- 45,415
Me after see your text and gain my happy mood[emoji3]Pole sana, You will be Okay.
If You need a shoulder to lay on I will be here. Dont hesitate.
U Don siuwezi. U Don wangu ni wa hapa hapa tu kwenye uzi wetu nilipopazoea. Miaka 75 na uDon wapi na wapi?Weka ngosha thedon ila ujiandae kupelekwa na don namilison kwa kisingizio cha kuiba jina lale ladon
That the spirit!! I appreciate thatSorry bro. I believe I can fly is my anthem too...The guy is just an exceptional musician...
Street smart with no formal Education.He is rotting in jail. Sad indeed !
Hahaha eti miaka 75U Don siuwezi. U Don wangu ni wa hapa hapa tu kwenye uzi wetu nilipopazoea. Miaka 75 na uDon wapi na wapi?
Hebu nitafutie jina zuri nibadili aisee...
The smile makes me sleepy 😴 Its good to have You back TH😃Me after see your text and gain my happy mood[emoji3]View attachment 1526500
Buyenze ni manyoya (ya simba au ng'ombe dume).Aisee niambie nini maans ya Buyenze. Kwa tafsiri zangu hua napata maana fulani ambayo ni msamiati wa kutoka Congo
Lala salama Coco, Asante kwa kuwa nasi😘The smile makes me sleepy 😴 Its good to have You back TH😃
Good night PPL
Vifimbo hivi vilikuwa vinasemekana ni vya mauza uza na ushirikina. Hicho cha Nyerere ati aliwahi kukisahau UK wakajaribu kukinyanyua kikawashinda mpaka wakamuita mwenyewe akarudi kukichukua.
Obote bwana. Bingwa wa kupinduliwa mpaka akatuingiza kwenye vita vya kiboya tu. Tukamrudisha na bado akapinduliwa tena. Hovyooo !!!
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Usiku mwema mates, Be good
Be Healthy