Kgothalo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2015
- 8,491
- 46,839
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwangu kangeshika adabu niwe mgeni au mzazi wake nakapa discipline ya nguvu
Maisha jinsi yalivyo hivi sasa hata kama una elimu ngazi ya PhD lazima upambane ili kujinasua kwenye ulofa.Tupo katika zama ambapo kusimama kiuchumi kunahitaji kujidhatiti kweli kweli.
Nikitulia nitaingia unipe ukweli[emoji23][emoji23]Personal sana.? Karibu
Hahahah huku bana hakuna mlegezo japo wale wa mommy daddy hawakosekani kuharibu mambo. Unaweza kuta vitoto vinagombana unaviamua na vinatii na salamu juu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mi watu wa kanda ya Ziwa nawaaminia sana kwenye malezi.
Kwenye malezi hampendagi mchezo mchezo.
Mambo ya kudekezana yapo sana maeneo ya mijini, hasa hasa huku Pwani.
Watoto wengi hawana adabu maana hata wazazi wao nao hawana maadili mema
Lakini ushapata mtoto au...
Maana usiseme hivyo ukijapata uncle wetu nawe ukawa kama wao[emoji23][emoji23]