moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Gonga likes kamanda. Ndiyo kazi yetu kuu iliyotukusanya hapa. Mijadala yote ipelekwe jukwaa husika [emoji16][emoji16]Cha ajabu kipi hapo kwani
Wanasema ni bohari/karakana ya wanaume wa Hezbollah imepata mushkeli...Inakisiwa watu kadhaa wamefariki na wengine zaidi ya alfu 3 wamejeruhiwaView attachment 1527379
Huu ni uthibitisho tosha kuwa pesa ni sabuni ya roho [emoji16][emoji16][emoji16]Wameanza kuzeeka kabla hawajaupata ujana View attachment 1527408
Acha ubahili wewe [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
Pambana upate pesa kamanda, uzee wako wa miaka 75 utageuka na kuwa mvulana wa miaka 25[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huu ni uthibitisho tosha kuwa pesa ni sabuni ya roho [emoji16][emoji16][emoji16]
Najua kamanda [emoji16][emoji16][emoji16]Pambana upate pesa kamanda, uzee wako wa miaka 75 utageuka na kuwa mvulana wa miaka 25[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ati miaka 75[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Najua kamanda [emoji16][emoji16][emoji16]
October niko huko. Ubishi wa nini? Tukutane kamanda. Ya nini uandikie wino na mate yapo? Tena tutamuomba na Anonimazi foreva awepo athibitishe umri wetu [emoji16][emoji16][emoji16]Ati miaka 75[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]