Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

October niko huko. Ubishi wa nini? Tukutane kamanda. Ya nini uandikie wino na mate yapo? Tena tutamuomba na Anonimazi foreva awepo athibitishe umri wetu [emoji16][emoji16][emoji16]
Kama kweli vile, kumbe poti mwenyewe alikuwa kamanda wa Gwaride la Chipukizi enzi hizo wakati CCM inazaliwa uwanja wa Nyamagana. 😆😆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…