Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jaji Mutungi atakuwa na wakati mgumu sana kama Msajili wa Vyama vya Siasa iwapo atataka kujipendekeza kwa waliomteua. Atajikuta mara kadhaa akikemea mambo fulani yaliyofanywa na wapinzani wakati hakuyakemea yalipofanywa na chama tawala. Ataambiwa 'what's good for goose...'
 
Ilani ya Uchaguzi ya CHADEMA imeeleza juu ya Biashara/Uchumi. Tumefanya utafiti na kuona ni utajiri kiasi gani na ajira zina potea kwa kukosekana kwa sera/sheria juu ya Stocks,Crypto,Forex,Indices,uchumi wa kidigitali ni mfumo wa biashara wa Dunia kwa sasa na CHADEMA tuna jibu.

#FOREX
 
Acha hizo kamanda. Mnajifanya hammfahamu kweli? Juzi hapa wakati TL anarudi nyumbani alichimba mkwara mkali akasambaza barua UN, Amnesty international, TZ Government akaalika na vyombo vya habari vya nje akitoa vitisho vikali?
Mimi nimeshaunga juhudi siku nyingi [emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…