moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahahahahaha jirani loh.
Natamani ungekuwepo mjengoni bro ushuhudie visu vikali kama hivyo [emoji23][emoji23]Mwenyewe nashangaa huko Bungeni msimu ujao itakuaje!? Ni warembo haswaa
Kila la kheri mzee wa jiji[emoji23][emoji23]Huyu naomba apite akija Dodoma naruka naye sisi ndio wazee wa jijiView attachment 1528209
CCM wanayajua madhara ya midahalo, hawatathubutu kufanya kitu cha aina hiyoKama Tanzania ingekuwa imekomaa sana kidemokrasia,tungeandaa mdahalo kati ya wagombea wa Urais. Hasa Mgombea wa CHADEMA -Tundu Lissu na Mgombea wa CCM - John Magufuli.
Aseee[emoji849][emoji849]Inasikitisha maana hawa wadau wote waliokua wakitoa elimu bure Youtube, kwasasa hawataweza mpaka wailipe serikali laki 6 kwaajili ya leseni, na pia watafute tin no na sajili zingine za kitaasisi au kampuni.
Wakiendelea kutoa elimu, wanaweza kufungwa au kutakiwa kulipa faini 5M.
Wamefanya uhalifu wa kukiuka haki za binadamu kwingineko sasa dhambi inawarejea nyumbaniSiyo polisi. Trump kaita jeshi kupambana na waandamanaji. Democracy my foot [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]View attachment 1528319
Janja janja ya kutaka kuwapachika watu wasiokubalika na wananchi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jirani kununua kondom unatakiwa uwe na roho ngumu[emoji23][emoji23][emoji23]
Naomba nieleweshe Coco ni sheria imetungwa au?Inasikitisha maana hawa wadau wote waliokua wakitoa elimu bure Youtube, kwasasa hawataweza mpaka wailipe serikali laki 6 kwaajili ya leseni, na pia watafute tin no na sajili zingine za kitaasisi au kampuni.
Wakiendelea kutoa elimu, wanaweza kufungwa au kutakiwa kulipa faini 5M.
Ndiyo! Ni mabadiliko ya sheria na Kanuni za Maudhui Mtandaoni yaliyo fanywa mapema mwaka huuNaomba nieleweshe Coco ni sheria imetungwa au?