moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Mwezini hakuna upepo. Hiyo bendera ilikuwa inapeperushwa na nini? Kuna wanaoamini kuwa hawa jamaa hawakwenda mwezini bali kila kitu kilifanyika katika jangwa la Nevada lengo likiwa kuwapanikisha Warusi [emoji16][emoji16][emoji16]
Huenda ikawa hivyoMwezini hakuna upepo. Hiyo bendera ilikuwa inapeperushwa na nini? Kuna wanaoamini kuwa hawa jamaa hawakwenda mwezini bali kila kitu kilifanyika katika jangwa la Nevada lengo likiwa kuwapanikisha Warusi [emoji16][emoji16][emoji16]