Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

KUONGEZEKA UZITO: Uchunguzi uliofanya katika Chuo cha Mambo ya Saikolojia nchini Australia, ulibaini kwamba shinikizo la kazi huchochea watu wengi kula vyakula kama chokoleti na mikaango mbalimbali. Ulitafiti kwenye wagonjwa 500 waliolazwa hospitalini, ulionyesha kwamba wengi wana vitambi na kutokana na kazi zenye shinikizo kubwa. Uchunguzi ukahitimisha kwamba watu wajihadhari na vyakula vinavyochochea mifadhaiko ya akili. Hivyo ikapendekezwa kula zaidi vyakula vya wanga. Ambavyo hupunguza kiwango cha sukari mwilini.
 
UDHIBITI WA JOTO LA MWILI: Tamaduni nyingi zinakubali kwamba ndizi ni kipoozi cha joto la mwili ambalo husababisha na hali mbalimbali zisizo za kawaida mwilini. Mathalani huko Thailand akina mama waja wazito hutumia ndizi kuhakikisha watoto wanaowazaa wanakuwa katika hali nzuri na ya ubaridi.
 
UCHOVU: Madini ya potasi yaliyo kwenye ndizi husaidia kutuliza mapigo ya moyo na kuwa ya kawaida. Hupeleka hewa safi kwenye ubongo na kurudisha kiwango cha maji kinachohitajika mwilini. Wakati tukiwa wachovu kiwango cha utendaji kazi wa mifumo mbalimbali ya mwili huongezeka na hivyo hupunguza kiasi cha potasi mwilini, upungufu huu hufidiwa kwa kula ndizi mara kwa mara.

HITIMISHO: Hivyo ndizi ni dawa ya kuponya maradhi mbalimbali. Aidha zina utajiri mkubwa wa protini mara nne zaidi, mara mbili zaidi ya wanga, mara tatu zaidi ya madini ya fasifarasi, mara tano zaidi ya vitamini A na madini ya chuma, ukilinganisha na aina zingine za vyakula. Pengine ni wakati muafaka kuzingatia msemo β€œkula ndizi kila siku kuepuka kuonana na daktari”.
 
Ubarikiwe sana...
 
Aisee...ngoja nikapate kipande
 
Mamlaka ya Anga nchini Swaziland imewapiga marufuku wachawi wote nchini humo wasiruke umbali unaozidi mita 150 juu wakiwa kwenye shughuli zao.
Mamlaka hiyo imesema atakayekaidi amri hiyo atalipa faini inayofanana na sh milioni 80 za kitanzania.
Mamlaka hiyo inalalakikia tabia za wachawi wa nch hiyo kwamba wanaruka umbali mrefu juu, jambo ambalo linaichanganya mamlaka hiyo
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…