Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tanzania kwa sasa habari za corona wengi hawazipendi japo tunayo tunajipa moyo tumeishinda sasa kwenda kuifukua upya. Ni sawa na lowassa kusema ccm oyee kwenye kampeni za Chadema
Hata kama ipo lakini madhara yake siyo kama wengi walivyotegemea. Binafsi naona kama vile Mungu Ametuepusha na bomu kali sana kwa sababu yangetimia yaliyokuwa yanasemwa kweli watu wangekufa sana. Labda kama bado inakusanya nguvu.

Pamoja na hayo hata juzi kwenye mkutano mkuu mwenyewe anapendekezwa kuwa mgombea sikuona mtu aliyevaa barakoa wala kufanya social distancing. Au pengine sikuona vizuri...

Hapa nilipo kwa sasa Korona imepamba moto vibaya sana lakini ukitoka nje huwezi kujua kama kuna Korona. Maisha yanaendelea. Lockdown imeshindikana na nadhani imefikia mahali ni kila mtu kupambana kivyake. Ukitaka barakoa vaa. Usipotaka acha lakini wanatangaza kila siku maambukizi mapya na vifo lakini naona kama vile watu hawajali tena. Kinachosubiriwa ni chanjo ambayo wanasema itakuwa tayari kufikia Desemba. Na tarehe 24 mwezi huu shule zinafunguliwa japo wazazi tumepewa option ya watoto kujifunza online lakini asilimia 84 ya wazazi wamechagua watoto kurudi shuleni physically.
 
Umeeleza vizuri mno.

Mkutano wa wazalendo wamepeana mikono sana kukumbatiana kama kote na wala hakukua na maji ya kunawa

Kila kona corona imechokwa ila wenzetu wanataman irudi kwasifa za kisiasa daah

Ishu kubwa anatakiwa apange hoja zake vizuri sio kila siku kuibuka na na jipya linalotoa mwanya kwa wapinzani wake kumkosoa
 
Asante bro!!
 
[emoji818][emoji818][emoji818]
 
Joe Gomez: “It’s definitely been the best five years of my life. I’ve grown up here. My little boy is a scouser now. It’s home for me and there’s nowhere else I’d rather be.”

Crazy to think he’s still only 23! A vital part of our squad, he’s been brilliant over the last few seasons. Great to see him say this too, a top professional and clearly a very humble man also!
Klopp
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…