moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Nawe piaMuwe na siku njema wote
Mwenye enzi Mkuu Mungu
Amin[emoji120]Atubariki
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Siyo kwamba ndiyo zinaenda kulimwa?
Kiwanda cha punda maana yake kwamba kinasindika minofu ya mnyama punda au ....?
Kwani nyama ya punda inaliwa jirani?Kinasindika nyama/minofu ya punda. Hivyo yale mabaki ndio yanawavutia fisi
Kwani nyama ya punda inaliwa jirani?
Jirani na mji wa Shinyanga kuna hifadhi ya wanyamapori?Kiwanda cha wachina, wanasafirisha
Wachina wanakula kila kitu. Nyama ya punda ni mali sana kwao. Wanasindika wanasafirisha nyama kwenda kwao...Kiwanda cha punda maana yake kwamba kinasindika minofu ya mnyama punda au ....?
AminaTumshukuru Mwenyezi Mungu kwa majaaliwa yake kuiona siku nyingine
Nawe ni Ostaadh kamanda?Ijumaa Kareem
Ya Kweli hiiNarudi nyumbani --- OkwiView attachment 1529474
Hata hapa Dodoma kipoWachina wanakula kila kitu. Nyama ya punda ni mali sana kwao. Wanasindika wanasafirisha nyama kwenda kwao...