Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Samsung wamezindua baadhi ya bidhaa zao mpya, bei kwa kila bidhaa bila kodi;
- Samsung Note20 - Tsh 2.3M
- Samsung Note20 Ultra - Tsh 3.2M
- Samsung Z Fold2 - Tsh 5.2M
- Galaxy Tab S7 - Tsh 1.7M
- Galaxy Tab S7Plus - Tsh 2.1M
- Galaxy Buds Live - Tsh 497K
- Galaxy Watch3 - Tsh 1.1M
 
IMG-20200806-WA0020.jpg
 
Kabila la Kreung linapatikana nchini Cambodia, Baba huwajengea vijumba maalum mabinti zao pindi wanapofika umri wa kuolewa kwaajili ya kukutania kimwili na Wanaume mbalimbali mpaka pale binti atakapopata anaemfaa. Kreung wanaamini hiyo ndio njia sahihi ya kumpata Mume.
 
Agosti 6, 1945, Bomu la kwanza la Atomiki kutoka Marekani liliangushwa katika ardhi ya Hiroshima, Japan na kuua zaidi ya watu 105,000 na wengine zaidi 100,000 walifariki baadae kutokana na athariza mionzi.
Jana ilikuwa inatimia miaka 75. Wenyewe wanasifia kwamba mabomu hayo mawili yalisaidia kuvikomesha vita vile na hivyo kuokoa maisha ya watu wengi zaidi...na kwamba mabomu hayo yawezekana yasitumike tena japo mabomu ya kisasa (ya Haidrojeni) ni hatari zaidi kuliko yale yaliyodondoshwa kwa Wajapan huko. Tatizo jingine ni jinsi ya kuyahifadhi mabomu haya yanayozeeka pamoja na uchafu mwingine unaotokana na vinu vya Nyuklia....
 
Kuwa mbabe gharama sana. Hapo hela nyingi inapotea kutunza mabomu yasiyotumika
 
Back
Top Bottom