Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Punda afe mzigo ufike...
FB_IMG_1596787517669.jpg
 
Samsung wamezindua baadhi ya bidhaa zao mpya, bei kwa kila bidhaa bila kodi;
- Samsung Note20 - Tsh 2.3M
- Samsung Note20 Ultra - Tsh 3.2M
- Samsung Z Fold2 - Tsh 5.2M
- Galaxy Tab S7 - Tsh 1.7M
- Galaxy Tab S7Plus - Tsh 2.1M
- Galaxy Buds Live - Tsh 497K
- Galaxy Watch3 - Tsh 1.1M
 
Visababishi ni nini?

Kukojoa mara kwa mara huweza kusababishwa na magonjwa yanayoathiri sehemu yoyote ile ya mfumo wa mkojo. Mfumo wa mkojo huhusisha figo, mirija ya mkojo(yureta), kutoka kwwenye figo mpaka kwenye kibofu, kibofu cha mkojo, na mrija unaotoa mkojo nje ya mwili(urethra)
 
Back
Top Bottom