Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Nikiwa mkubwa nitakuwa navaa miwani kama hiyo ya kwako
Jana ilikuwa inatimia miaka 75. Wenyewe wanasifia kwamba mabomu hayo mawili yalisaidia kuvikomesha vita vile na hivyo kuokoa maisha ya watu wengi zaidi...na kwamba mabomu hayo yawezekana yasitumike tena japo mabomu ya kisasa (ya Haidrojeni) ni hatari zaidi kuliko yale yaliyodondoshwa kwa Wajapan huko. Tatizo jingine ni jinsi ya kuyahifadhi mabomu haya yanayozeeka pamoja na uchafu mwingine unaotokana na vinu vya Nyuklia....Agosti 6, 1945, Bomu la kwanza la Atomiki kutoka Marekani liliangushwa katika ardhi ya Hiroshima, Japan na kuua zaidi ya watu 105,000 na wengine zaidi 100,000 walifariki baadae kutokana na athariza mionzi.
when you in rome do as the romans doNo hard feelings for what bro?
Kama anajua Korona ipo kwenye mkutano ule juzi Mlimani City kulikuwa na precaution yo yote? Barakoa? Social distancing? Unafiki tu
View attachment 1529355
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna Faida 5 Za Madeni Mwilini.
(1).Kuchangamsha Ubongo, Yaani Akija Anayekudai Unakuwa Umeshaandaa Majibu Mazuri Ya Kumpa Na Akaondoka Na Tabasam Bila Hela.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23](3)Anayekudai Atajifanya Akulie Timing Alfajiri Saa Kumi Na Moja Kumbe Wewe Umeshapanga Utoke Saa Kumi Ili Umkwepe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23](4)Madeni Huzuia Sound Pollution Yaani Hata Kama Umelewa na Huku Ukiimba Nyimbo Njia Nzima Ukipita Mtaa Anaoishi Anayekudai Utanyamaza Tu Bila Kupenda Na Hata Ukifika Nyumbani Utapumua Na Hutawasha Kale Kasaboofa Kako Kamchina.
Aisee nimecheka sanaTukope Jamani Kudimisha Afya Zetu, Kopa Chelewa Kulipa Kwa Afya Yako. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]
Halafu Wajumbe Wengi darasa la SabaWajumbe walimliza mpaka balozi Mheshimiwa sana Dr. Diodorus Kamala Buberwa P. Hawana huruma hawa watu [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1529508
Mkuu sio photo hii
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Aisee nimecheka sana
Kuwa mbabe gharama sana. Hapo hela nyingi inapotea kutunza mabomu yasiyotumikaJana ilikuwa inatimia miaka 75. Wenyewe wanasifia kwamba mabomu hayo mawili yalisaidia kuvikomesha vita vile na hivyo kuokoa maisha ya watu wengi zaidi...na kwamba mabomu hayo yawezekana yasitumike tena japo mabomu ya kisasa (ya Haidrojeni) ni hatari zaidi kuliko yale yaliyodondoshwa kwa Wajapan huko. Tatizo jingine ni jinsi ya kuyahifadhi mabomu haya yanayozeeka pamoja na uchafu mwingine unaotokana na vinu vya Nyuklia....