Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hio unlimited huwa inanitendea mema na miujiza nikiunga leo ya buku jero navuta drama vizuri,kesho yake nikiweka jero nikaunga usiku napata unlimited nyingine etilaini yao nimempa babu andjul, nipo halotel ni mwendo wa unlimited kwa buku jero
wacha weeee....mia tano si wanakupa gb 1 inakuwaje wakupe unlimited....au una ndugu na mmiliki wa mtandao.Hio unlimited huwa inanitendea mema na miujiza nikiunga leo ya buku jero navuta drama vizuri,kesho yake nikiweka jero nikaunga usiku napata unlimited nyingine eti
Hii system ilikuwepo zaman sema waliitoa naona imerudi. Kuna kipindi nilikuambia huwa navuta episode 66 na kuendelea ni kwa kutumia hio kitu. Ukitaka kujua hio unga ya buku jero kesho yake unga ya jero vuta episode tatu zikshaingia angalia salio ukikuta halijapungua jiachie kwa episode kama zoteeeewacha weeee....mia tano si wanakupa gb 1 inakuwaje wakupe unlimited....au una ndugu na mmiliki wa mtandao.
gamble au uhakika madame?Hii system ilikuwepo zaman sema waliitoa naona imerudi. Kuna kipindi nilikuambia huwa navuta episode 66 na kuendelea ni kwa kutumia hio kitu. Ukitaka kujua hio unga ya buku jero kesho yake unga ya jero vuta episode tatu zikshaingia angalia salio ukikuta halijapungua jiachie kwa episode kama zoteeee
gamble au uhakika madame?
hahahahhaaaaa leo nimegonga internet kutoka saa 6 usiku mpaka 12 asubuhi........nimeamka saa 8 kamili mchana wa leo kwa kelele za harusi.........siasa inakaribia....ni muda muafaka wa kuongeza stocks kwenye store zetu....wengine wanahifadhi chakula na sisi wengine tunahifadhi series na drama.
kupanga ni kuchagua
ahsante, nitajaribu kufanya hivyoHahahaha kweli kuchagua ni kupanga
A na B yote sawa maana imenitokea wiki iliyopita so bado sijapata uhakika zaidi. Najua jero nayo hela but jaribu kisha utaniletea mrejesho unga saa sita usiku. Nilitaka kukesha leo ila kesho nina kasafari nimeshindwa maana kukesha kisha kuamka mapema kichwa kinakua na wenge balaa
hata wapemba tunaweka mapozi hayo,Wajuaji wapi hiiView attachment 1529903
Sawa usisahau ni ofa ya leo yaani mfatano wa kile cha 1500. Ni kama bandika bandua ya siriahsante, nitajaribu kufanya hivyo
Unahangaika kijana.laini yao nimempa babu andjul, nipo halotel ni mwendo wa unlimited kwa buku jero
Basi huku koromije ukiwatajia watu zantel wanakushangaa. Hata vocha zake hazipo madukaniUnahangaika kijana.
Baki njia kuu
Vodacom na Zantel