Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

huko kwenu mumejaza makabila, sijui ilikuwaje mukawa na taifa moja
Tuna makabila mengi sana, lakini jambo la kushukuru sisi ni wamoja kuliko hata nchi zenye makabila machache kama wasomali , wanyarwanda, warundi na wakenya.
Sisi hapa kwetu kabila lako ni lako mwenyewe, hutabaguliwa kutokana nalo.
Mambo yetu yanaenda bila kujali makabila yetu.
Makabila yamebakia na kazi moja tu ya kutaniana
 
Salama

Salama ninge.

Shusha tu halotel wana unlimited ni wewe tu na usingizi wako kisha kesho dae akileta mrejesho tutajua zaidi kama ipo kwa wote au napendelewa tu
weweeeee.....leo sijiungi(jana internet ilikuwa ni mbovu)
unajua nipo nje ya mji jambo linalopekea speed ya internet iwe ni 3g....
inshaallah kesho nitarudi mjini(nitajaribu kujiunga)

huwa natumia internet mpaka nafikia hatua namuuliza google drama ipi ni nzuri haijalishi ya mwaka gani?
sometime natamani nimuamshe ningendako anipe list ya series
hahahaaaaaaaa

jana internet ilikuwa mbayaaaaa kama karata za membe na uraisi
  1. nimeshusha the blacklist season 3 , hd(reddington ananitia wazimu)
  2. dear my friends drama, full hd
  3. na video nyengine za tutorials, full hd
  4. celine dion albums, kutoka mwaka 1991 hadi 2008
  5. kwa mara ya kwanza nimetafuta nyimbo za ed sheeran
1596806677281.png

​
 
Huko najua Vodacom na Airtel wamebamba.
Zantel ni Zanzibar na maeneo ya jirani Dar, Tanga na Bagamoyo
zantel wanajishusha, dunia ya sasa matumizi makubwa ya mitandao ya simu ni Internet......
kifurushi cha usiku wameweka GB 2 kwa 1500

huu ni zaidi ya ufala, kuna laini zile za zamani za zantel 4g ukiwa nazo unaenjoy sana, ukijiunga kifurushi wanakupa mara mbili yake
 
Tuna makabila mengi sana, lakini jambo la kushukuru sisi ni wamoja kuliko hata nchi zenye makabila machache kama wasomali , wanyarwanda, warundi na wakenya.
Sisi hapa kwetu kabila lako ni lako mwenyewe, hutabaguliwa kutokana nalo.
Mambo yetu yanaenda bila kujali makabila yetu.
Makabila yamebakia na kazi moja tu ya kutaniana
Tanganyika mulipata kiongozi bora
 
weweeeee.....leo sijiungi(jana internet ilikuwa ni mbovu)
unajua nipo nje ya mji jambo linalopekea speed ya internet iwe ni 3g....
inshaallah kesho nitarudi mjini(nitajaribu kujiunga)

huwa natumia internet mpaka nafikia hatua namuuliza google drama ipi ni nzuri haijalishi ya mwaka gani?
sometime natamani nimuamshe ningendako anipe list ya series
hahahaaaaaaaa

jana internet ilikuwa mbayaaaaa kama karata za membe na uraisi
  1. nimeshusha the blacklist season 3 , hd(reddington ananitia wazimu)
  2. dear my friends drama, full hd
  3. na video nyengine za tutorials, full hd
  4. celine dion albums, kutoka mwaka 1991 hadi 2008
  5. kwa mara ya kwanza nimetafuta nyimbo za ed sheeran
View attachment 1529913
​
Mie pia nipo 3G,napambana nayo hivyo hivyo siku nikiangukia kwenye 4G drama na series zitaomba poo. Kesho ukirudi mjini anza na ya 1500 kisha ya 500 maana. Leo ndio ilikua bahati yako.
 
MWILI wa mrembo Jemima Oresha aliyetumbukia katika maporomoko ya Thompson Falls Nyahururu nchini Kenya _ umeopolewa juzi Jumatano, Agosti 5, 2020 na wakazi eneo la Rwathia kando ya mto ambao waliwajulisha polisi ambao walifika na kuuchukua. Naibu kamishna wa eneo hilo, Patrick Muli amesema mwili huo ulipatikana kilomita chache mbali na eneo alikotumbukia na kwamba Jemima alitembelea Thompson Falls ku-enjoy mandhari ya eneo hilo. Jemima mwenye umri wa miaka 39 alikuwa amesimama kwenye jiwe huku ndugu yake Mangafu akimpiga picha, kwa bahati mbaya alikumbana na mauti. Kikosi kilichowashirikisha maofisa wa KWS, polisi, kitengo cha dharura na wale wa Msalaba Mwekundu kilipinga kambi katika mto huo kuusaka mwili wa marehemu. “Mwili huo ulionekana na wakazi eneo la Rwathia kando ya mto ambao waliwajulisha polisi ambao walifika na kuuchukua,” Muli alisema. Naibu kamishna huyo aliwatahadharisha wakazi na kuwaomba kuwa waangalifu wakati wanavuka mito iliyofurika eneo hilo. Mwathiriwa alisafiri kutoka Kitale kaunti ya Trans Nzoia na alisisitiza kwamba kabla arejee nyumbani angependa kuzuru maeneo hayo yenye mandhari ya kupendeza. Familia yake imekuwa ikipiga kambi eneo hilo ikiitafuta mwili wa mpendwa wao. “Ilikuwa ni tamanio letu kuupata mwili wake ili tumzike mahali ambapo tutakuwa tukiliona kaburi lake,” kakake alisema. Mwili wake ulipelekwa katika makafani ya hospitali ya rufaa ya Nyahururu. **RIP JEMIMAView attachment 1529889
RIP....
 
Tena ukiwa na 4G aisee usiku ni wako utafaidi kama coco na ile top ten
wewe na mwili wako tu, sasa mimi nikiwa home ikifika saa 10 najifanya kulala kimachale huku nikiwa nimetega mzigo wangu

mzee wangu ana kawaida ikifika saa 11 ananiamsha kwa ajili ya sala ya asubuhi na sipendi anikute niko macho.
ila nikiwa huku nilipo muda huu, nakesha kuliko CNN
 
Back
Top Bottom